音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Samia Suluhu
    
    
    Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara  (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)  Tanzania ya Suluhu Hassan mama yameremeta  (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)   Mungu ana mama (mama eeh mama)  Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama)  Amri jeshi kuu (mama eeh mama)  Anapendwa na wengi (mama eeh mama)   Ameimarisha urafiki kimataifa  Wawekezaji sa nchini kote wanafika  Demokrasi, siasa ya kuridhisha  Biashara ona zinauzika   Si nampenda aki (Samia)  Uone vua taki (Samia)  Misoko elimu kaweka safi (Samia)  Mashule kwa zahanati (Samia)   Kapinga zile kodi zote ziso halali  Vina uhuru sasa vyombo vya habari  Zote kesi za uonevu kafutilia mbali  Kapunguza fine za bodaboda  Sasa mambo shwari   Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara  (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)  Tanzania ya Suluhu Hassan mama inafuraha  (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)   Mungu ana mama (mama eeh mama)  Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama)  Jemedari wetu (mama eeh mama)  Mtetezi wa wanyonge (mama eeh mama)   Iyena iyena, iyena iyena  Iyena iyena Rais Samia nambari one  Iyena iyena, iyena iyena  Iyena iyena Rais Samia nambari one  Ooh iyena iyena, iyena iyena  Iyena iyee Suluhu Hassan namba moja  Iyena iyena, iyena iyena  Iyena iyena Rais Samia nambari one   Mungu ana mama (mama eeh mama)  Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama)  Eh mwanamke wa shoka (mama eeh mama)  Oh mchapa kazi (mama eeh mama)   Amechukua ameweka wah (eh vitu vya afya)  Amechukua ameweka wah (flyover ndege mpya)  Amechukua ameweka wah (barabara vijijini)  Amechukua ameweka wah   Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele  Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele  Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele  Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele  Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele  Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele  Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge sana  Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele   Na kazi iendelee, kazi iendelee (twende pamoja, pamoja)  Na kazi iendelee, kazi iendelee (wakulima, madakitari na machinga)  Na kazi iendelee, kazi iendelee (maboda boda, waalimu oh)  (Platnumz)  
 
完毕