音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Ramadhan
    
    
    Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan   Faraja, faraja mwezi umefika tena  Tulomngoja kaja tuzichume neema  Molah, nijalie na mi hisani (Amiin)  Na sadaka nizijali (Amiini)  Nipe rizki za halali (Amiin)  Karima  Niwezeshe pia futari (Amiin)  Kwa wenzangu wasio na hali  Oh yarabi tafadhali (Amiin)  Karima  Oh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu  Na pia unafahamu  Tunaishi kwenye dunia ya majaribu Allah   Nilindie imani Molah, imani Molah  Imani funga yangu iwe salama  Nilindie imani Molah, imani Molah  Imani funga yangu iwe salama (Ramadhan)   Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan   Yah-a-a-a-ah  Ya-a-a-a-ah, a-a-a-a-a-ah  Yah-a-a-a-ah  Ya-a-a-a-ah, a-a-a-a-a-ah  Alhamdulillah, Alhamdulillah  Umenipa pumzi, nimeuona tenaa  Wallah furaha, wallah furaha  Nipo tayari mvuvi kuvua neema   Yarabi nafsi yangu, roho yangu ijaze imani  Nirindie funga yangu ibada yangu na mingi mitihani  Mwezi ulo mwema uja kwetu waumini  Funga ni imara afya kwetu mwilini  Ni vyema kutolala kumi la mwisho  Kesha msikitini  Tupate na maghfira kwa Mola manani   Nilindie imani Mola, imani Mola  Imanii funga yangu iwe salama  Nilindie imani Mola, imani Mola  Imani funga yangu iwe salama   Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan  Yeah Ramadhan   Enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu  Tusikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu  Hakika mwenyezi mungu usamehe dhambi zote  Yeye ni mwenye kusamehe na mwenye kurehemu  Aswahumu lii, funga ni yake yeye  Waanaajizib  Na yeye ndie anae lipa  
 
完毕