音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Ukimwona
    
    
    Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu  Yashanipiga sasa sinabudi nielewe  Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu  Japo nishida ila, nitabaki mwenyewe   Ohh ila, mpe shukrani kwa kuniumiza suraya  Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu  Na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya  Hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu   Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)  Sina amani nasaga rumba (rumba)  Ohh unani dunda dunda  Sema chine tembee moyoo   Unanidunda dunda (mamii moyooo)  Sina amani nasaka rumba (oohh mimii)  Ohh unani dunda dunda  Eeeeeeehhhhhhhhhh ukimwona   Ukimwona ukimwona  Ukimwona ukimwona  Ukimwona   We nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya  Tena wengi waongo, hawawazi ndanganye  Oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya  Oooohhhh mmmmmhhh   Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui  Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui  Ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno  Mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo   Najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote  Ila ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote   Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)  Sina amani nasaga rumba (rumba)  Ohh unani dunda dunda  Sema chine tembee moyoo   Unanidunda dunda (mamii moyoo)  Sina amani nasaga rumba (ooohh mimii)  Ohh unani dunda dunda  Eeeeeehhhhhhhhhh ukimwona  Ukimwona ukimwona  Ukimwona ukimwona  Ukimwona  
 
完毕