音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Toka Mwanzo
    
    
    Yeah, yeah, yeah, yeah (ah ah)  Bae, bae, bae, babe  Yeah, yeah, yeah, yeah (ah ah, ah...)  Bae, bae, bae, babe  Ma, ma, ma, ma (ah ah ah)  Bae, bae, bae, babe (ah...)   Mama kwanza nilipokwona na  Ulisema ati just a 
friend now  Wala kwanza huna mpango naye  Alitaka tu mka spend a 
ride  Na na na ukamkatalia  Ukamkimbia  Baki anaumia na  Eti kuanalia  Tena kwa hisia  (Ati kisa kuwa na we)  Maneno mengi kunidanganya  Nikiwa sipo kumbe mnafanya  Nimeshow love tena kwa sana  Nitakosea nikikuita player  Sitokosea nikikuita player mbona we  (Come on, come on, come on, come on)   Sasa si wala we ungesema toka mwanzo  Kama sipo hata kwenye yako mawazo  Kisa nini ya mapenzi alizo nazo  Hizo ambazo zimekuvutia  Kwenye hizo zimekuvutia...  Hizo ambazo zimekuvutia  Kwenye ambazo zimekuvutia wewe  Zimekuvutia  Ati bora ningesema toka mwanzo  Kama upo hata kwenye yako mawazo  Kisa nilie mapendo nilizo nazo  Hizo ambazo zimenivutia  Hizo ambazo zimenivutia...  Zimenivutia  Hizo ambazo zimenivutia mimi...  Zimenivutia...   Usinizuge kwa makiss kibao  Ati "Diamond, nakupenda sana"  Nikiwa sipo unanipiga bao  Kwa mamisemo kwa  Utadharau namba hii uchechema  Sasa vipi?  Vipi?  Vipi?  Sasa sa vipi?  Vipi?  Vipi?  Wewe  Hamna noma nitaride nao  Bora mtakoma bonge la mshangao  Aya  Wewe sawa  Wewe  Maneno kibao 'cause unipenda, alright  Na naomba mshangao zaidi ya kima, alright  Unasema hutaki niona na, ye ye  He's just a 
friend baby, naomba nielewe  Ni wangapi nimeponda nao  Wala kwanza sina mpango nao  Ukiniona nao unasema maboy  Sasa nitakuwa na wangapi  Wangapi mimi?   Sasa si wala we ungesema toka mwanzo  Kama sipo hata kwenye yako mawazo  Kisa nini ya mapenzi alizo nazo  Hizo ambazo zimekuvutia  Kwenye hizo zimekuvutia...  Hizo ambazo zimekuvutia  Kwenye ambazo zimekuvutia wewe  Zimekuvutia  Ati bora ningesema toka mwanzo  Kama upo hata kwenye yako mawazo  Kisa nilie mapendo nilizo nazo  Hizo ambazo zimenivutia  Hizo ambazo zimenivutia...  Zimenivutia  Hizo ambazo zimenivutia mimi...  Zimenivutia...   Baby girl  Najua unanipenda  But sometime, kwanini unenitenda  Unaniumiza roho  Sifauti ya hao  Na chill  Na feel  Nahisi sina deal  Na kama unakuja njoo tena for real, ma  Nakuja natoka nakuacha nacheka  Ukiniona unadeka na kumbe nikiondoka unateta  Come on  Baby  I'll never let you go, go  Like crazy  Nabaki sema no, no   Diamond  Like crazy  Nabaki sema no...  Nabaki sema no  Oh oh  Oh, ah...  Crazy...  
 
完毕