音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Natamani
    
    
    Mi kweli natamani siku iwezekane  Nfumbue macho mi kuona  Nijue sababu gani, unanipenda sana  Wakati siwezi mi kuona?  Mi kweli natamani siku iwezekane  Nfumbue macho mi kuona  Nijue sababu gani, unanipenda sana  Wakati siwezi mi kuona?   Mara nyingi peke yangu nawaza  Namuomba Mungu nisije kukwaza  Nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma  Chei! Tena usiku mzima nalia darling  Napiga goti kwa Mola nasali  Azidi tupe baraka tusije kosa dona   Eh! Mi macho yangu  Nimejaliwa mboni lakini nuru sina  Ningekuwa na uwezo  Ningefanya kazi nikuhudumie  Upofu wangu ndio kikwazo kikubwa  Mwenzako raha sina  Lakini unanijali  Mbali na mengi unanipenda sana   Mi kweli natamani siku iwezekane  Nfumbue macho mi kuona  Nijue sababu gani, unanipenda sana  Wakati siwezi mi kuona?  Mi kweli natamani siku iwezekane  Nfumbue macho mi kuona  Nijue sababu gani, unanipenda sana  Wakati siwezi mi kuona?   Nasikia kuna rangi ya upendo  Ili upendwe kuna pozi za mwendo  Utanashati  Udambudambu na urembo mi sina  Mi natamani nitazame  Kwa ardhi na mbingu nilalame  Nipande mawingu na niliname  Uwenda nikaona   Eh! Mi macho yangu  Nimejaliwa mboni lakini nuru sina  Ningekuwa na uwezo  Ningefanya kazi nikuhudumie  Upofu wangu ndio kikwazo kikubwa  Mwenzako raha sina  Lakini unanijali  Mbali na mengi unanipenda sana   Mi kweli natamani siku iwezekane  Nfumbue macho mi kuona  Nijue sababu gani, unanipenda sana  Wakati siwezi mi kuona?  Mi kweli natamani siku iwezekane  Nfumbue macho mi kuona  Nijue sababu gani, unanipenda sana  Wakati siwezi mi kuona?   Nikuone mama, niweze tazama  Everybody say, eh eh eh eh eh  Eh eh eh eh eh eh  Eh eh eh eh eh eh  I 
love you, nakupenda  Tena! Eh eh eh eh eh  Eh eh eh eh eh eh  Eh eh eh eh eh eh  I 
love you, nakupenda  Say, eh eh eh eh eh  Eh eh eh eh eh eh  Eh eh eh eh eh eh  I 
love you, nakupenda  
 
完毕