音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Nataka Kulewa
    
    
    We niache niende niende, niende niende  Niache niende niende, niende niende   Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua  Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua  Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua  Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua  Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya  Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina  Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya  Na nina mengi, ah yamenikaa moyoni   Leo nataka kulewa, lewa  Mi nataka kulewa, lewa  Nataka kulewa, lewa  Zikipanda nimwage radhi  Nataka kulewa, lewa  Mi nataka kulewa, lewa  Nataka kulewa, lewa  Zikipanda nimwage radhi  We niache niende niende, niende niende  Niache niende niende, niende niende   Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa  Kukata vilimi-limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda  Kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu najisumbua  Si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga  Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya  Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina  Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya  Na nina mengi, ah yamenijaa moyoni   Leo nataka kulewa, lewa  Mi nataka kulewa, lewa  Nataka kulewa, lewa  Zikipanda nimwage radhi  Nataka kulewa, lewa  Mi nataka kulewa, lewa  Nataka kulewa, lewa  Zikipanda nimwage radhi  We niache niende niende, (kulewa, kulewaa) niende niende  Niache niende niende, (kulewa, kulewaa) niende niende  (Kulewa, kulewaa)  (Kulewa, kulewaa)  (Kulewa, kulewaa)  
 
完毕