音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Moyo Wangu
    
    
    Moyo wangu  Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa  Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa   Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee  Lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina  Jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi  Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina  Ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso  Tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo  Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho  Kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa   Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa  Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa   Mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh  Huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha  Wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina  Mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama  Tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee  Raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa  Na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee  Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa  Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie  Ila lakini ni kikwazo  Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka  Kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa   Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa  Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa  Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa  Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee  Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa  
 
完毕