音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Mbagala
    
    
    Busara na upole, na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama  Vyote haukuvijali, ukaona silingani kabisa kuwa na wewe  Ka kuti na mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu nana  Eti kisa mali, ukaona bora uniache mimi na uolewe  Ile siku shekhe namuona anachoma ubani  Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani  Nliumia sana, sana  Ile siku shekhe namuona anachoma ubani  Unavishwa pete unakua mke wa fulani  Niliumia sana, niliumia sana, sana   Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala  Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi  Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala  Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi   Ungejua jinsi gani  Machozi nlolia kwa uchungu wa penzi langu na  Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni  Hata kupendwa sitamani  Utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwangu ma  Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni  Ah naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu  Vile akinuna mpaka atabasamu  Mmefanana sana, sana  Mi mwenzako tena mapenzi mi sina hamu  Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam  Nataka niende mbali, niepuke vita na walimwengu  Mi mwenzenu siwezi   Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala  Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi  Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala  Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi   Nasema Mbagala, Mbagala, Mbagala aa aaha  Mbagala, ukaona mapenzi siwezi  Nasema Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala) ee eh  Mbagala, ukaona mapenzi siwezi   Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala  Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi  Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala  Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi  
 
完毕