音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Mawazo
    
    
    Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo  Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo  Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo  Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo   Ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga  Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover   Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua  Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua  Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua  Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua  Inaniuma sana   Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (mhh mawazo)  Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)  Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)  Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)   Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo  Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo   Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo  Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo   Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu  Ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu  Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu  Ameleta tafarani... mwenzenu nalia na moyo wangu!   Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia  Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia  Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu  Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu   Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (uhh mawazo)  Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo)  Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo (mawazo)  Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo   Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo  Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo   Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo  Nikikumbukia!  Ubongo unapata mawazo   Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua  Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua  Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua  Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua  
 
完毕