音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Mapenzi Basi
    
    
    Mi mwenzenu tena basi  Oh mapenzi sitaki  Oh mwenzenu tena basi  Basi sitaki  [x2]   Yalinifanya nikaugua  Mara napanga napangua  Mwili ukakonda nikapungua  Ah sikulala, sikulala  Oh maradhi nikaugua oh  Yakanichoma na kuungua roho  Kutwa nawaza na kuwazua  Sikulala   Hayo mapenzi bwana, hayana maana  Yalinifanya mi nichekwe  Sababu yake nshagombana, nikatukanwa  Lakini akanipiga teke  Ai haya mapenzi bwana, hayana maana  Yalinifanya mi nichekwe  Sababu yake nkagombana, usiku mchana  Yeye   Mi mwenzenu tena basi  Oh mapenzi sitaki  Oh mwenzenu tena basi  Basi sitaki  [x2]   Oh nilishagombana na mama mzazi  Akataka nimwagia radhi  Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu  Yakaleta zengwe kwa kazi  Ugomvi wa simba na panzi  Vurugu kwa majirani  Ah, ee Mola wangu   Hayo mapenzi bwana, hayana maana  Yalinifanya mi nichekwe  Sababu yake nshagombana, nikatukanwa  Lakini akanipiga teke  Ai haya mapenzi bwana, hayana maana  Yalinifanya mi nichekwe  Sababu yake nkagombana, usiku mchana  Yeye   Mi mwenzenu tena basi  Oh mapenzi sitaki  Oh mwenzenu tena basi  Basi sitaki  [x2]  
 
完毕