音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Kwanini?
    
    
    Ah! Usinione nalia  Moyoni naumia  Kila siku maugomvi, unanukia mabia  Ina maana unataka usema  Huu moyo wangu hatambui  Thamani ya mapenzi  Ndo imegeuka kuwa uadui   Nikakuimbia nyimbo bado  Nkakupa moyo bado  Nikakupa life, na true love  Ila baby bado  Nikakuimbia nyimbo bado  Nkakupa moyo bado  Nikakupa life, na true love  Ila baby bado   Ukose raha  Kisa, kupendwa nawe  Kwanini ukose raha?  Kisa, kupendwa nawe  Kwanini ukose raha?  Kisa, kupendwa nawe  Kwanini ukose raha?  Kisa, kupendwa nawe   Nishachoshwa na haya mapenzi  Visa mara mia kwa mwezi  Mara leo limekwisha hili  Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine  Choshwa na haya mapenzi  Visa mara mia kwa mwezi  Leo limekwisha hili, kesho lingine eh!  You just don't know  Naumia umia umia umia umia  Eeeh ah!  You don't know  Naumia umia umia umia umia  Hiiiii...   Ukose raha  Kisa, kupendwa nawe  Kwanini ukose raha?  Kisa, kupendwa nawe  Kwanini ukose raha?  Kisa, kupendwa nawe  Kwanini ukose raha?  Kisa, kupendwa nawe  
 
完毕