音效
		
		
		界面
		
		
		
	难度等级
	
	
	
		口音
		
				
				界面语言
				 
			 
			
			
			
			
		 
	 
	
	1
	
	
	
		
			
			 
			
			
			
			和/或在社交方面支持我。网络:
			
			
		 
	
	
		
	
	
	
    Kamwambie
    
    
    Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa  Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi  Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa  Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi   So ningeamuru nyota na mbalamwezi  Viwe mali yake yeye  Natamani ila tatizo siwezi  Huenda ingefanya anielewe  Ah ona, si alinifunza mapenzi  Nlikuwa sijui kamwambie  Akanidekeza kishenzi  Kwa nyimbo nzuri nimuimbie   So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia  Akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia  Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia mmh  Mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia  Ee yeah   Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa  Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi  Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa  Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi   Nasema siku hizi wala hakuna fungate  Mapenzi hayana thamani  Hivyo mwambie wanaopenda wachache  Wengi wanatamani  Uuh wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea  Nenda mwambie ajihadhari na dua njema namuombea   So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia  Akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia  Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia mmh  Mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia  Ee yeah   Kamwambie, kamwambie  Kamwambie, kamwambie  Kamwambie, kamwambie  Kamwambie, kamwambie   Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa  Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi  Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa  Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi  
 
完毕